Isaiah 8:7-8
7 akwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao
mafuriko makubwa ya Mto: ▼
▼ Yaani Frati.
yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote.
Yatafurika juu ya mifereji yake yote,
yatamwagikia juu ya kingo zake zote,
8 cna kufika hadi Yuda, yakizunguka kwa kasi juu yake,
yakipita katikati na yakifika hadi shingoni.
Mabawa yake yaliyokunjuliwa
yatafunika upana wa nchi yako,
Ee Imanueli!” ▼
▼ Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi.
Copyright information for
SwhKC